# Kwa hiyo, sasa imarisheni njia zenu na matendo yenu. Watu walikuwa walikuwa wamejito kumtolea Yahwe sadaka ili kumpendeza. Lakini hawakuwa wanapenda kuifuata sheri ya Yahwe wala kumjua Yeye. # Sikilizenu sauti ya Yahwe. "Mtiini Yahwe." # Nitendeeni yaliyomema na sahihi katika macho yenu. Maneno "mema" na "sahihi" yana maana moja. # Kwa ajili ya masikio yenu. "Kwa ajili yenu kusikia."