sw_tn/jer/26/04.md

16 lines
391 B
Markdown

# Kama hamtanisikiliza ili mtembee katika sheria yangu ambayo nimeiweka mbele yenu.
"Kama hamtanitii mimi na sheria yangu niliyowapa."
# Kisha nitaifanya nyumba hii kuwa kama Shilo.
"Kisha nitaliharibu hekalu."
# Nitaifanya nyumba hii kuwa laana.
Hii ni adhabu ya Yahwe ambayo ataileta Yerusalemu.
# Katika macho ya mataifa yote juu ya dunia.
"Mataifa yote kwa ajili ya kushuhudia."