# Kama hamtanisikiliza ili mtembee katika sheria yangu ambayo nimeiweka mbele yenu. "Kama hamtanitii mimi na sheria yangu niliyowapa." # Kisha nitaifanya nyumba hii kuwa kama Shilo. "Kisha nitaliharibu hekalu." # Nitaifanya nyumba hii kuwa laana. Hii ni adhabu ya Yahwe ambayo ataileta Yerusalemu. # Katika macho ya mataifa yote juu ya dunia. "Mataifa yote kwa ajili ya kushuhudia."