sw_tn/jer/26/04.md

391 B

Kama hamtanisikiliza ili mtembee katika sheria yangu ambayo nimeiweka mbele yenu.

"Kama hamtanitii mimi na sheria yangu niliyowapa."

Kisha nitaifanya nyumba hii kuwa kama Shilo.

"Kisha nitaliharibu hekalu."

Nitaifanya nyumba hii kuwa laana.

Hii ni adhabu ya Yahwe ambayo ataileta Yerusalemu.

Katika macho ya mataifa yote juu ya dunia.

"Mataifa yote kwa ajili ya kushuhudia."