sw_tn/jer/25/30.md

16 lines
277 B
Markdown

# kuleta mashtaka
"kuwahukumu mataifa" au "kuhukumu na kuadhibu mataifa"
# Ataleta haki kwa wote wenye mwili
Mataifa yote inayojulikana atapata hukumu ya Mungu.
# wote wenye mwili
"kwa wanadamu wote" au "kwa watu wote"
# atawatia waovu katika upanga
"kuwaua watu waovu"