sw_tn/jer/25/30.md

277 B

kuleta mashtaka

"kuwahukumu mataifa" au "kuhukumu na kuadhibu mataifa"

Ataleta haki kwa wote wenye mwili

Mataifa yote inayojulikana atapata hukumu ya Mungu.

wote wenye mwili

"kwa wanadamu wote" au "kwa watu wote"

atawatia waovu katika upanga

"kuwaua watu waovu"