# kuleta mashtaka "kuwahukumu mataifa" au "kuhukumu na kuadhibu mataifa" # Ataleta haki kwa wote wenye mwili Mataifa yote inayojulikana atapata hukumu ya Mungu. # wote wenye mwili "kwa wanadamu wote" au "kwa watu wote" # atawatia waovu katika upanga "kuwaua watu waovu"