sw_tn/jer/25/27.md

32 lines
668 B
Markdown

# Taarifa za jumla
Maono ambayo Mungu alimpa nabii Yeremia inaendelea.
# kunywa na kulewa, kisha tapika, uanguke, wala usisimame mbele ya upanga nitakaoutuma kati yenu
Hii inaonyesha kutokuwepo kwa adhabu ya kuja na ubatili wa kujaribu kuepuka.
# kikombe mkononi mwako ili kunywa
"adhabu yao"
# lazima mnywe
Hiki si kikombe ambacho mataifa yanaweza kukataa kunywa. Mataifa hawawezi kukataa hukumu za Mungu za vita na majanga ya asili.
# kunywa
"kuadhibiwa"
# mji unaoitwa na jina langu
"watu wa Yerusalemu"
# je ninyi mtaachiliwa msiadhibiwe?
"unapaswa kuadhibiwa."
# nitaita upanga juu ya wenyeji wote wa nchi
"Ninawaadhibu wale wanaoishi katika nchi"