# Taarifa za jumla Maono ambayo Mungu alimpa nabii Yeremia inaendelea. # kunywa na kulewa, kisha tapika, uanguke, wala usisimame mbele ya upanga nitakaoutuma kati yenu Hii inaonyesha kutokuwepo kwa adhabu ya kuja na ubatili wa kujaribu kuepuka. # kikombe mkononi mwako ili kunywa "adhabu yao" # lazima mnywe Hiki si kikombe ambacho mataifa yanaweza kukataa kunywa. Mataifa hawawezi kukataa hukumu za Mungu za vita na majanga ya asili. # kunywa "kuadhibiwa" # mji unaoitwa na jina langu "watu wa Yerusalemu" # je ninyi mtaachiliwa msiadhibiwe? "unapaswa kuadhibiwa." # nitaita upanga juu ya wenyeji wote wa nchi "Ninawaadhibu wale wanaoishi katika nchi"