sw_tn/jer/25/27.md

668 B

Taarifa za jumla

Maono ambayo Mungu alimpa nabii Yeremia inaendelea.

kunywa na kulewa, kisha tapika, uanguke, wala usisimame mbele ya upanga nitakaoutuma kati yenu

Hii inaonyesha kutokuwepo kwa adhabu ya kuja na ubatili wa kujaribu kuepuka.

kikombe mkononi mwako ili kunywa

"adhabu yao"

lazima mnywe

Hiki si kikombe ambacho mataifa yanaweza kukataa kunywa. Mataifa hawawezi kukataa hukumu za Mungu za vita na majanga ya asili.

kunywa

"kuadhibiwa"

mji unaoitwa na jina langu

"watu wa Yerusalemu"

je ninyi mtaachiliwa msiadhibiwe?

"unapaswa kuadhibiwa."

nitaita upanga juu ya wenyeji wote wa nchi

"Ninawaadhibu wale wanaoishi katika nchi"