sw_tn/jer/25/22.md

335 B

Taarifa zajumla

Yeremia anaendelea kuandika mataifa yote yaliyo chini ya hukumu ya Mungu.

Bahari

Hii ni kumbukumbu ya Bahari ya Mediterane.

wale wanyoao nywele zao upande wa pili wa vichwa vya

Hii inawezekana inazungumzia Waarabu ambao waliishi jangwani, watu ambao hukata nywele zao ili waweze kuheshimu mungu wa kipagani.