# Taarifa zajumla Yeremia anaendelea kuandika mataifa yote yaliyo chini ya hukumu ya Mungu. # Bahari Hii ni kumbukumbu ya Bahari ya Mediterane. # wale wanyoao nywele zao upande wa pili wa vichwa vya Hii inawezekana inazungumzia Waarabu ambao waliishi jangwani, watu ambao hukata nywele zao ili waweze kuheshimu mungu wa kipagani.