sw_tn/jer/25/22.md

12 lines
335 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa zajumla
Yeremia anaendelea kuandika mataifa yote yaliyo chini ya hukumu ya Mungu.
# Bahari
Hii ni kumbukumbu ya Bahari ya Mediterane.
# wale wanyoao nywele zao upande wa pili wa vichwa vya
Hii inawezekana inazungumzia Waarabu ambao waliishi jangwani, watu ambao hukata nywele zao ili waweze kuheshimu mungu wa kipagani.