sw_tn/jer/25/15.md

386 B

kikombe hiki cha divai ya ghadhabu kutoka mkononi mwangu, ukawanyweshe mataifa yote niliyokutuma

Bwana anaamuru adhabu kuanza.

ukawanyweshe mataifa yote niliyokutuma

"kufanya mataifa kuwa na uzoefu"

watakunywa na kisha watalewa na kufanya wazimu mbele ya upanga ambao nitaupeleka kati yao

Wale wanaopata matokeo ya adhabu kali ya Bwana watatenda kama watu walichanganyikiwa.