# kikombe hiki cha divai ya ghadhabu kutoka mkononi mwangu, ukawanyweshe mataifa yote niliyokutuma Bwana anaamuru adhabu kuanza. # ukawanyweshe mataifa yote niliyokutuma "kufanya mataifa kuwa na uzoefu" # watakunywa na kisha watalewa na kufanya wazimu mbele ya upanga ambao nitaupeleka kati yao Wale wanaopata matokeo ya adhabu kali ya Bwana watatenda kama watu walichanganyikiwa.