sw_tn/jer/25/15.md

12 lines
386 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# kikombe hiki cha divai ya ghadhabu kutoka mkononi mwangu, ukawanyweshe mataifa yote niliyokutuma
Bwana anaamuru adhabu kuanza.
# ukawanyweshe mataifa yote niliyokutuma
"kufanya mataifa kuwa na uzoefu"
# watakunywa na kisha watalewa na kufanya wazimu mbele ya upanga ambao nitaupeleka kati yao
Wale wanaopata matokeo ya adhabu kali ya Bwana watatenda kama watu walichanganyikiwa.