sw_tn/jer/24/04.md

28 lines
763 B
Markdown

# neno la Bwana lilikuja
Angalia jinsi ulivyotafasiri hii katika 1:1.
# kama vile tini hizi nzuri
Tini nzuri ni wale waliohamishwa wa Yuda waliotumwa kwenda nchi ya Wakaldayo.
# Nitaweka macho yangu kwao wapate mema
"Nitawabariki."
# Nitawajenga, wala sitawaangamiza. Nitawapanda, wala sitawang'oa.
Sentensi hizi mbili zina maana sawa. Jambo la pili linaimarisha mawazo ya kwanza. "Nitawasaidia kufanikiwa katika Wakaldayo."
# Nitawajenga, wala sitawaangamiza
Neno hili linawafananisha wahamisho na jengo ambalo Bwana atajenga na si kuvunja. AT "Nitawasaidia kufanikiwa katika nchi, na si kuwaangamiza."
# Nitawapanda, wala sitawang'oa
"Nitawaweka katika nchi, wala siwaondoe."
# hivyo watanirudia kwa moyo wao yote.
"watanirudia kwa uzima wao wote"