sw_tn/jer/24/04.md

763 B

neno la Bwana lilikuja

Angalia jinsi ulivyotafasiri hii katika 1:1.

kama vile tini hizi nzuri

Tini nzuri ni wale waliohamishwa wa Yuda waliotumwa kwenda nchi ya Wakaldayo.

Nitaweka macho yangu kwao wapate mema

"Nitawabariki."

Nitawajenga, wala sitawaangamiza. Nitawapanda, wala sitawang'oa.

Sentensi hizi mbili zina maana sawa. Jambo la pili linaimarisha mawazo ya kwanza. "Nitawasaidia kufanikiwa katika Wakaldayo."

Nitawajenga, wala sitawaangamiza

Neno hili linawafananisha wahamisho na jengo ambalo Bwana atajenga na si kuvunja. AT "Nitawasaidia kufanikiwa katika nchi, na si kuwaangamiza."

Nitawapanda, wala sitawang'oa

"Nitawaweka katika nchi, wala siwaondoe."

hivyo watanirudia kwa moyo wao yote.

"watanirudia kwa uzima wao wote"