# neno la Bwana lilikuja Angalia jinsi ulivyotafasiri hii katika 1:1. # kama vile tini hizi nzuri Tini nzuri ni wale waliohamishwa wa Yuda waliotumwa kwenda nchi ya Wakaldayo. # Nitaweka macho yangu kwao wapate mema "Nitawabariki." # Nitawajenga, wala sitawaangamiza. Nitawapanda, wala sitawang'oa. Sentensi hizi mbili zina maana sawa. Jambo la pili linaimarisha mawazo ya kwanza. "Nitawasaidia kufanikiwa katika Wakaldayo." # Nitawajenga, wala sitawaangamiza Neno hili linawafananisha wahamisho na jengo ambalo Bwana atajenga na si kuvunja. AT "Nitawasaidia kufanikiwa katika nchi, na si kuwaangamiza." # Nitawapanda, wala sitawang'oa "Nitawaweka katika nchi, wala siwaondoe." # hivyo watanirudia kwa moyo wao yote. "watanirudia kwa uzima wao wote"