sw_tn/jer/24/01.md

16 lines
342 B
Markdown

# Tazama
Neno "tazama" hapa linaonyesha kwamba Yeremia aliona kitu cha kuvutia.
# Maono haya yalitokea......nao Babeli
Sehemu hii ya hadithi hutumiwa kutoa maelezo ya kihistoria kuonyesha wakati matukio yalivyotokea.
# mafundi
watu wenye ujuzi wa kutengeneza vitu.
# wafua vyuma
watu wenye ujuzi wa kutengeneza vitu kutokana na chuma.