# Tazama Neno "tazama" hapa linaonyesha kwamba Yeremia aliona kitu cha kuvutia. # Maono haya yalitokea......nao Babeli Sehemu hii ya hadithi hutumiwa kutoa maelezo ya kihistoria kuonyesha wakati matukio yalivyotokea. # mafundi watu wenye ujuzi wa kutengeneza vitu. # wafua vyuma watu wenye ujuzi wa kutengeneza vitu kutokana na chuma.