sw_tn/jer/24/01.md

342 B

Tazama

Neno "tazama" hapa linaonyesha kwamba Yeremia aliona kitu cha kuvutia.

Maono haya yalitokea......nao Babeli

Sehemu hii ya hadithi hutumiwa kutoa maelezo ya kihistoria kuonyesha wakati matukio yalivyotokea.

mafundi

watu wenye ujuzi wa kutengeneza vitu.

wafua vyuma

watu wenye ujuzi wa kutengeneza vitu kutokana na chuma.