sw_tn/jer/23/23.md

338 B

Mimi ni Mungu aliye karibu....mimi sio Mungu aliye mbali?

"Mimi ni Mungu ambaye ni wa karibu na mbali."

Je, kuna mtu yeyote anayejificha mahali penye siri ili nisiweze kumwona?

"Hakuna mtu anayeweza kujificha mahali pa siri ili nisiweze kumwona."

Je, sikuijaza Mbingu na Dunia?

"Na mimi niko kila mahali, mbinguni na duniani."