sw_tn/jer/23/23.md

12 lines
338 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Mimi ni Mungu aliye karibu....mimi sio Mungu aliye mbali?
"Mimi ni Mungu ambaye ni wa karibu na mbali."
# Je, kuna mtu yeyote anayejificha mahali penye siri ili nisiweze kumwona?
"Hakuna mtu anayeweza kujificha mahali pa siri ili nisiweze kumwona."
# Je, sikuijaza Mbingu na Dunia?
"Na mimi niko kila mahali, mbinguni na duniani."