# Mimi ni Mungu aliye karibu....mimi sio Mungu aliye mbali? "Mimi ni Mungu ambaye ni wa karibu na mbali." # Je, kuna mtu yeyote anayejificha mahali penye siri ili nisiweze kumwona? "Hakuna mtu anayeweza kujificha mahali pa siri ili nisiweze kumwona." # Je, sikuijaza Mbingu na Dunia? "Na mimi niko kila mahali, mbinguni na duniani."