sw_tn/jer/23/07.md

218 B

Kama Bwana aishivyo

Hili ndilo neno linalotumiwa kwa kiapo.

kutoka nchi ya kaskazini na nchi zote walizofukuzwa

Hii inahusu njia ya makabila kumi ya kaskazini ya Israeli yaliyotumwa na kuenea kati ya nchi zote.