sw_tn/jer/23/07.md

8 lines
218 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Kama Bwana aishivyo
Hili ndilo neno linalotumiwa kwa kiapo.
# kutoka nchi ya kaskazini na nchi zote walizofukuzwa
Hii inahusu njia ya makabila kumi ya kaskazini ya Israeli yaliyotumwa na kuenea kati ya nchi zote.