# Kama Bwana aishivyo Hili ndilo neno linalotumiwa kwa kiapo. # kutoka nchi ya kaskazini na nchi zote walizofukuzwa Hii inahusu njia ya makabila kumi ya kaskazini ya Israeli yaliyotumwa na kuenea kati ya nchi zote.