sw_tn/jer/23/05.md

895 B

siku zinakuja

Wakati ujao unasemwa kama ni kitu kinachoja kwa msemaji au wasikilizaji. AT "wakati utafanyika"

Tamko la Bwana

"nini Bwana ametangaza" au "nini Bwana amesema." Angalia jinsi ulivyotafasiri hii katika 1:7.

tawi la haki

Mfalme huyu wa baadaye alitoka kwa Daudi anazungumzwa kama kwamba alikuwa tawi iliyopandwa kwenye mti. AT "mwana wa haki"

tawi la haki

Baadhi ya matoleo ya kisasa yanatafsiri "mrithi halali wa kiti cha enzi."

hukumu na haki katika nchi

"hukuimu" na "haki" husimama kwa watu wanaofanya kwa haki na kwa haki. "Kwa sababu watu kutenda kwa haki na kwa haki "

katika nchi

Hapa "nchi" inawakilisha watu wote katika taifa hilo. AT "kwa watu wote katika taifa"

Yuda ataokolewa, na Israeli wataishi kwa usalama

Sentensi hizi mbili zina maana sawa.

Yuda ataokolewa

Hii inaweza kuweka katika fomu ya kazi. "atamuokoa Yuda kutoka kwa adui zao"