sw_tn/jer/23/05.md

32 lines
895 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# siku zinakuja
Wakati ujao unasemwa kama ni kitu kinachoja kwa msemaji au wasikilizaji. AT "wakati utafanyika"
# Tamko la Bwana
"nini Bwana ametangaza" au "nini Bwana amesema." Angalia jinsi ulivyotafasiri hii katika 1:7.
# tawi la haki
Mfalme huyu wa baadaye alitoka kwa Daudi anazungumzwa kama kwamba alikuwa tawi iliyopandwa kwenye mti. AT "mwana wa haki"
# tawi la haki
Baadhi ya matoleo ya kisasa yanatafsiri "mrithi halali wa kiti cha enzi."
# hukumu na haki katika nchi
"hukuimu" na "haki" husimama kwa watu wanaofanya kwa haki na kwa haki. "Kwa sababu watu kutenda kwa haki na kwa haki "
# katika nchi
Hapa "nchi" inawakilisha watu wote katika taifa hilo. AT "kwa watu wote katika taifa"
# Yuda ataokolewa, na Israeli wataishi kwa usalama
Sentensi hizi mbili zina maana sawa.
# Yuda ataokolewa
Hii inaweza kuweka katika fomu ya kazi. "atamuokoa Yuda kutoka kwa adui zao"