# siku zinakuja Wakati ujao unasemwa kama ni kitu kinachoja kwa msemaji au wasikilizaji. AT "wakati utafanyika" # Tamko la Bwana "nini Bwana ametangaza" au "nini Bwana amesema." Angalia jinsi ulivyotafasiri hii katika 1:7. # tawi la haki Mfalme huyu wa baadaye alitoka kwa Daudi anazungumzwa kama kwamba alikuwa tawi iliyopandwa kwenye mti. AT "mwana wa haki" # tawi la haki Baadhi ya matoleo ya kisasa yanatafsiri "mrithi halali wa kiti cha enzi." # hukumu na haki katika nchi "hukuimu" na "haki" husimama kwa watu wanaofanya kwa haki na kwa haki. "Kwa sababu watu kutenda kwa haki na kwa haki " # katika nchi Hapa "nchi" inawakilisha watu wote katika taifa hilo. AT "kwa watu wote katika taifa" # Yuda ataokolewa, na Israeli wataishi kwa usalama Sentensi hizi mbili zina maana sawa. # Yuda ataokolewa Hii inaweza kuweka katika fomu ya kazi. "atamuokoa Yuda kutoka kwa adui zao"