sw_tn/jer/23/03.md

537 B

Taarifa za jumla

Bwana anaendelea kusema juu ya watu wa Israeli kama kondoo wake na viongozi wa Israeli kama wachungaji

kwenye eneo la malisho

"ambapo mahitaji yao yote yatatolewa"

ambako watazaa na kuongezeka

Neno "ongezeko" linaelezea jinsi watakavyokuwa "wenye kuzaa." AT "wataongezeka kwa idadi kubwa."

hivyo hawataogopa tena au kupotezwa

Maneno "yamevunjwa" inamaanisha kwamba mtu amewafanya waogope na maana yake ni sawa na "hofu." "Hakuna mtu atakayewaogopa tena."

Hakuna hata mmoja

"Hakuna kati ya watu wangu"