sw_tn/jer/23/03.md

20 lines
537 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Taarifa za jumla
Bwana anaendelea kusema juu ya watu wa Israeli kama kondoo wake na viongozi wa Israeli kama wachungaji
# kwenye eneo la malisho
"ambapo mahitaji yao yote yatatolewa"
# ambako watazaa na kuongezeka
Neno "ongezeko" linaelezea jinsi watakavyokuwa "wenye kuzaa." AT "wataongezeka kwa idadi kubwa."
# hivyo hawataogopa tena au kupotezwa
Maneno "yamevunjwa" inamaanisha kwamba mtu amewafanya waogope na maana yake ni sawa na "hofu." "Hakuna mtu atakayewaogopa tena."
# Hakuna hata mmoja
"Hakuna kati ya watu wangu"