sw_tn/jer/23/01.md

503 B

wachungaji ambao huangamiza na kuwatawanya kondoo wa malisho yangu

Bwana anaelezea Israeli kama malisho yake, watu wa Israeli kama kondoo wake na viongozi wao katika Israeli kama wachungaji.

Tamko la Bwana

Angalia jinsi ulivyotafasiri hii katika 1:7.

mnawatawanya kundi langu na kuwafukuza

Maneno haya mawili yana maana sawa. Jambo la pili linaimarisha mawazo ya kwanza.

kulipa kwa uovu

Bwana inahusu matendo mabaya kama mkopo uliopatiwa na unaweza kulipwa. AT "kulipiza kisasi kwa uovu"