# wachungaji ambao huangamiza na kuwatawanya kondoo wa malisho yangu Bwana anaelezea Israeli kama malisho yake, watu wa Israeli kama kondoo wake na viongozi wao katika Israeli kama wachungaji. # Tamko la Bwana Angalia jinsi ulivyotafasiri hii katika 1:7. # mnawatawanya kundi langu na kuwafukuza Maneno haya mawili yana maana sawa. Jambo la pili linaimarisha mawazo ya kwanza. # kulipa kwa uovu Bwana inahusu matendo mabaya kama mkopo uliopatiwa na unaweza kulipwa. AT "kulipiza kisasi kwa uovu"