sw_tn/jer/23/01.md

16 lines
503 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# wachungaji ambao huangamiza na kuwatawanya kondoo wa malisho yangu
Bwana anaelezea Israeli kama malisho yake, watu wa Israeli kama kondoo wake na viongozi wao katika Israeli kama wachungaji.
# Tamko la Bwana
Angalia jinsi ulivyotafasiri hii katika 1:7.
# mnawatawanya kundi langu na kuwafukuza
Maneno haya mawili yana maana sawa. Jambo la pili linaimarisha mawazo ya kwanza.
# kulipa kwa uovu
Bwana inahusu matendo mabaya kama mkopo uliopatiwa na unaweza kulipwa. AT "kulipiza kisasi kwa uovu"