sw_tn/jer/22/27.md

12 lines
366 B
Markdown

# nchi hii ambayo watataka kurudi
Inaelezea nchi ya Yuda
# Je! Hii ni chombo kilichodharauliwa na kilichopasuka? Je, mtu huyu Yehoyakini ni chombo kisichomfurasha mtu?
"Yehoyakini haufai na hakuna mtu anayefurahi naye."
# Kwa nini wamemtupa yeye na wazao wake, kumpeleka katika nchi wasiyoijua?
"Watu wanapaswa kuwaondoa Yehoyakini na familia yake kutoka nchi"