# nchi hii ambayo watataka kurudi Inaelezea nchi ya Yuda # Je! Hii ni chombo kilichodharauliwa na kilichopasuka? Je, mtu huyu Yehoyakini ni chombo kisichomfurasha mtu? "Yehoyakini haufai na hakuna mtu anayefurahi naye." # Kwa nini wamemtupa yeye na wazao wake, kumpeleka katika nchi wasiyoijua? "Watu wanapaswa kuwaondoa Yehoyakini na familia yake kutoka nchi"