sw_tn/jer/22/27.md

366 B

nchi hii ambayo watataka kurudi

Inaelezea nchi ya Yuda

Je! Hii ni chombo kilichodharauliwa na kilichopasuka? Je, mtu huyu Yehoyakini ni chombo kisichomfurasha mtu?

"Yehoyakini haufai na hakuna mtu anayefurahi naye."

Kwa nini wamemtupa yeye na wazao wake, kumpeleka katika nchi wasiyoijua?

"Watu wanapaswa kuwaondoa Yehoyakini na familia yake kutoka nchi"