sw_tn/jer/22/22.md

12 lines
327 B
Markdown

# Upepo utawalisha wachungaji wako wote
"Viongozi wako wataondolewa"
# Nyumba ya Msitu wa Lebanoni, wewe ambaye ni kiota kati ya mierezi
"nyumba iliyotengenezwa kutoka kwa mierezi ya Lebanoni"
# jinsi utakavyohurumiwa wakati uchungu wa maumivu ya huzuni yanavyokujia kama unatakakuzaa
"utasihi kwa sababu ya maumivu yako"