sw_tn/jer/22/22.md

327 B

Upepo utawalisha wachungaji wako wote

"Viongozi wako wataondolewa"

Nyumba ya Msitu wa Lebanoni, wewe ambaye ni kiota kati ya mierezi

"nyumba iliyotengenezwa kutoka kwa mierezi ya Lebanoni"

jinsi utakavyohurumiwa wakati uchungu wa maumivu ya huzuni yanavyokujia kama unatakakuzaa

"utasihi kwa sababu ya maumivu yako"