# Upepo utawalisha wachungaji wako wote "Viongozi wako wataondolewa" # Nyumba ya Msitu wa Lebanoni, wewe ambaye ni kiota kati ya mierezi "nyumba iliyotengenezwa kutoka kwa mierezi ya Lebanoni" # jinsi utakavyohurumiwa wakati uchungu wa maumivu ya huzuni yanavyokujia kama unatakakuzaa "utasihi kwa sababu ya maumivu yako"