sw_tn/jer/22/08.md

8 lines
284 B
Markdown

# Kisha mataifa mengi yatapita kwenye mji huu
"Kisha watu wengi kutoka mataifa mbalimbali watapita kwenye mji huu."
# wakainama kwa miungu mingine, wakaiabudu
Maneno haya mawili yanamaanisha kitu kimoja. Maneno "akainama chini" yanaelezea mkao ambao watu walitumia katika kuabudu.