sw_tn/jer/22/08.md

284 B

Kisha mataifa mengi yatapita kwenye mji huu

"Kisha watu wengi kutoka mataifa mbalimbali watapita kwenye mji huu."

wakainama kwa miungu mingine, wakaiabudu

Maneno haya mawili yanamaanisha kitu kimoja. Maneno "akainama chini" yanaelezea mkao ambao watu walitumia katika kuabudu.