# Kisha mataifa mengi yatapita kwenye mji huu "Kisha watu wengi kutoka mataifa mbalimbali watapita kwenye mji huu." # wakainama kwa miungu mingine, wakaiabudu Maneno haya mawili yanamaanisha kitu kimoja. Maneno "akainama chini" yanaelezea mkao ambao watu walitumia katika kuabudu.