sw_tn/jer/22/06.md

12 lines
336 B
Markdown

# nyumba ya mfalme wa Yuda
Hii pia inaweza kutafsiriwa kama "nyumba ya mfalme wa Yuda" na inahusu familia na wazao wa Mfalme wa Yuda.
# Wewe uko kama Gileadi, au kama kilele cha Lebanoni
Bwana anaelezea hisia zake nzuri kwa familia na wazao wa Mfalme wa Yuda
# nitakugeuza kuwa jangwa
"kwa sababu miji yako kuwa tupu au isiyoishi"