# nyumba ya mfalme wa Yuda Hii pia inaweza kutafsiriwa kama "nyumba ya mfalme wa Yuda" na inahusu familia na wazao wa Mfalme wa Yuda. # Wewe uko kama Gileadi, au kama kilele cha Lebanoni Bwana anaelezea hisia zake nzuri kwa familia na wazao wa Mfalme wa Yuda # nitakugeuza kuwa jangwa "kwa sababu miji yako kuwa tupu au isiyoishi"