sw_tn/jer/22/06.md

336 B

nyumba ya mfalme wa Yuda

Hii pia inaweza kutafsiriwa kama "nyumba ya mfalme wa Yuda" na inahusu familia na wazao wa Mfalme wa Yuda.

Wewe uko kama Gileadi, au kama kilele cha Lebanoni

Bwana anaelezea hisia zake nzuri kwa familia na wazao wa Mfalme wa Yuda

nitakugeuza kuwa jangwa

"kwa sababu miji yako kuwa tupu au isiyoishi"