sw_tn/jer/22/01.md

36 lines
808 B
Markdown

# kiti cha Daudi
Hii ina maana ya kuwa na mamlaka ya kifalme, kama vile Daudi alivyokuwa nayo. AT "kutawala kama mfalme, kama Daudi mbele yenu"
# kusikiliza neno la Bwana
"kuwa makini kwa neno la Bwana"
# wewe na watumishi wako, na watu wako
"wewe na watumishi wako, na watu wako wanaoishi katika nchi yake"
# mnaokuja kwa malango haya
Haya ni malango ya jumba la mfalme. AT "ambaye anakuja kumtembelea mfalme"
# mkono wa mshindani
Neno "mkono" linamaanisha nguvu au udhibiti wa mtu.
# Usimtendee mabaya
Usimtendee mtu vibaya
# yatima
mtoto ambaye hana wazazi
# Usifanye......kumwaga damu isiyo na hatia
"Usifanye ... kuwaua watu wasio na hatia"
# mahali hapa
"mahali hapa" linamaanisha Yerusalemu, au hata nchi nzima ya Yuda. Hii haina maana kuwa ni vizuri kuua watu katika maeneo mengine.