sw_tn/jer/22/01.md

808 B

kiti cha Daudi

Hii ina maana ya kuwa na mamlaka ya kifalme, kama vile Daudi alivyokuwa nayo. AT "kutawala kama mfalme, kama Daudi mbele yenu"

kusikiliza neno la Bwana

"kuwa makini kwa neno la Bwana"

wewe na watumishi wako, na watu wako

"wewe na watumishi wako, na watu wako wanaoishi katika nchi yake"

mnaokuja kwa malango haya

Haya ni malango ya jumba la mfalme. AT "ambaye anakuja kumtembelea mfalme"

mkono wa mshindani

Neno "mkono" linamaanisha nguvu au udhibiti wa mtu.

Usimtendee mabaya

Usimtendee mtu vibaya

yatima

mtoto ambaye hana wazazi

Usifanye......kumwaga damu isiyo na hatia

"Usifanye ... kuwaua watu wasio na hatia"

mahali hapa

"mahali hapa" linamaanisha Yerusalemu, au hata nchi nzima ya Yuda. Hii haina maana kuwa ni vizuri kuua watu katika maeneo mengine.